Skip to main content
Skip to main content

Mwanaharakati Davis Lichuma aliyeripotiwa kutoweka apatikana

  • | Citizen TV
    1,926 views
    Duration: 1:58
    Davis Lichuma, ambaye alikuwa ameripotiwa kutoweka, amepatikana katika eneo la Kenyatta jijini Nairobi. Kupatikana kwake kunafuatia wasiwasi uliotolewa na familia, wanaharakati na makundi ya kutetea haki za binadamu waliokuwa wakitaka mamlaka kueleza aliko na kuhakikisha usalama wake.