Skip to main content
Skip to main content

Mwanaharakati Ezekiel Kyama ajitokeza tena miaka miwili baada ya vurugu za bunge

  • | Citizen TV
    17,748 views
    Duration: 2:33
    Ni takriban miaka miwili baada ya waandamanaji kuvamia bunge wakipinga kupitishwa kwa mswada wa fedha wa mwaka 2024. Hata hivyo, video ya kijana mmoja aliyegonga vichwa vya habari kwa kuingia bungeni na hata kujirekodi akitoa ujumbe kwa Spika wa bunge haijasahaulika. Hata hivyo, kijana huyo Ezekiel Kyama, aliyeenda mafichoni baada ya kisa hicho, sasa amejitokeza tena. Gatete Njoroge anatujuza zaidi kuhusu hatua hiyo na kile kinachofuata.