Skip to main content
Skip to main content

Mwanaharakati wa mitandao Halima aachiliwa huru baada ya kukamatwa

  • | Citizen TV
    3,482 views
    Duration: 1:28
    Mwanaharakati wa mitandao ya kijamii Halima Ngache, maarufu kama "Princess Halima", ameachiliwa huru baada ya kukamatwa kwa madai ya kuchapisha ujumbe kwenye mitandao ya kijamii uliodaiwa kufuatilia safari za ndege zinazotumiwa na Rais William Ruto.Kuachiliwa kwake kunajiri huku kesi hiyo ikiendelea kuvutia hisia tofauti kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii na uhuru wa kujieleza nchini.