Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke anadaiwa kuiba Sh40,000 katika duka la M-Pesa Mombasa

  • | Citizen TV
    54,668 views
    Duration: 3:48
    Mwanamke mmoja anasakwa na polisi baada ya kunaswa na kamera za CCTV akidaiwa kuiba Sh40,000 kutoka katika duka la M-Pesa jijini Mombasa.