9 Oct 2026 10:42 am | Citizen TV 3,631 views Duration: 1:39 Mwanamke mmoja anayetuhumiwa kuwalaghai wawekezaji zaidi ya shilingi milioni 36 ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni 5 pesa taslimu.