Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke Bomba| Faith Soila kuwawezesha wanawake na vijana kupitia lugha ya Kijerumani

  • | Citizen TV
    647 views
    Duration: 4:39
    Mwanamke Bomba jioni ya leo ni Faith Soila Lasoi ambaye, kama njia mojawapo ya kutoa shukrani kwa jamii yake, anatumia maarifa aliyopata baada ya kuishi nchini Ujerumani kwa takriban miaka kumi kuwawezesha wakazi wa kijiji cha Oloirien, Kaunti ya Narok. Faith anahifadhi utamaduni wa jamii ya Kimaasai huku akiwafunza lugha ya Kijerumani vijana, kina mama na wajane ili kuwapa ujuzi utakaowafungulia fursa mbalimbali. Faith ndiye anayetupambia Mwanamke Bomba jioni ya leo.