Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke Bomba | Joyce Kimani avunja mipaka ya ufundi wa magari

  • | Citizen TV
    1,585 views
    Duration: 5:45
    Kwa muda mrefu jamii imeamini kuwa ufundi wa magari ni kazi ya wanaume. Hata hivyo, Joyce Kimani amechagua kuvunja mipaka hiyo kwa ujasiri na umahiri. Akiwa fundi wa kutengeneza mifumo ya waya za umeme na taa za magari, ameonyesha kuwa uwezo, maarifa na bidii havichagui jinsia wala umri. Katika makala ya Mwanamke Bomba wiki hii, Joyce mwenye umri wa miaka 23 anatuleza kwa kina simulizi ya safari yake, changamoto alizokutana nazo na jinsi anavyofanya kazi yake kwa umahiri katika ulingo uliosheheni wanaume.