Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke bomba | Kutana na Sharon Wanjiru, fundi wa magari Mwiki anayevunja vizingiti vya jinsia

  • | Citizen TV
    662 views
    Duration: 4:45
    Miongoni mwa mafundi wa magari katika eneo la Mwiki huko Kasarani, Sharon Wanjiru anatambulika kwa umahiri katika kazi yake. Licha ya kuwa mwanamke pekee katika karakana yao, ujuzi wake umewavutia wengi ambao hutoka mbali kutafuta huduma zake. Leo katika makala yetu ya mwanamke bomba tunamvisha taji Sharon kutokana na juhudi zake ambazo zinamuwezesha kukimu mahitaji yake pamoja na ya familia yake.