Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke Bomba | Safari ya mafanikio ya Aziza Robbie

  • | Citizen TV
    1,299 views
    Duration: 4:26
    Wanasema mgaagaa na upwa hali wali mkavu. Na msemo huu umegonga ndipo kwa Aziza Robbie - mfabiashara wa kuuza keki katika mtaa wa Dandora hapa Nairobi. Baada ya kutambua juhudi zake akitumia baiskeli kuuza bidhaa kwa wateja na wenye maduka, sasa amepata afueni baada ya kundi la kina mama chini ya muungano wa sakeena centre & supporters kumnunulia tuktuk ili arahisishe kazi yake. Tulipata fursa ya kuzungumza naye baada ya kufunguliwa ukurusa huu mpya na kuandaa simulizi yake katika makala yetu ya mwanamke bomba yanayofuata sasa.