Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke Bomba | Sarah Adoyo: kutoka kibanda cha vyakula hadi kumiliki mikahawa

  • | Citizen TV
    1,088 views
    Duration: 5:27
    Majukumu ya familia yalimlazimu kuanza kujituma akiwa na umri mdogo. Namzungumzia Sarah Adoyo ambaye amekuwa maarufu katika eneo la Westlands hapa jijini Nairobi kutokana na kazi yake ya kuuza vyakula kibandani na hatimaye kufanikiwa kumiliki mikahawa kadhaa na kuwaajiri wafanyakazi wanaomtegemea ili kupata riziki yao ya kila siku. Ni safari ambayo haikuwa rahisi lakini ukakamavu wake umebadili maisha yake kwa kiwango kikubwa kama anavyosimulia katika makala ya Mwanamke Bomba juma hili.