Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume afariki baada ya matibabu mabaya ya daktari bandia Kawangware

  • | Citizen TV
    21,438 views
    Duration: 2:44
    Mwanamume aliyetolewa jino na daktari bandia katika mtaa wa Kawangware ameaga dunia. Amos Isoka aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya rufaa alikofanyiwa upasuaji mara mbili aliaga kwa matatizo yaliyotokana na matibabu aliyopokea awali Kawangware.