- 1,481 viewsDuration: 3:00Makachero wanachunguza tukio moja huko Lumakanda, kaunti ya Kakamega, ambapo mwanamume wa umri wa miaka 39 alifariki baada ya kujiteketeza. Polisi walisema Moffat Munubi, ambaye amekuwa akitofautiana na mkewe, alirejea nyumbani akiwa na petroli kwenye mtungi wa lita 20. Kisha ugomvi ukazuka kati ya wanandoa hao, ambapo mwanamume huyo alimshambulia mkewe na kumpiga kwa nyundo katika jaribio la kumuua lakini hakufua dafu. Kisha mwanamume huyo alijimiminia petroli mwilini mwake kabla ya kujiteketeza. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive