- 730 viewsDuration: 1:55Mwanamume mmoja kutoka kaunti ya Kajiado sasa anatoa wito kwa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI na Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma ODPP kuingilia kati na kumsaidia katika kesi ya Kunyakuliwa kwa ekari 200 ya ardhi yake katika eneo la Ewaso Kajiado Magharibi ambayo imejikokota katika mahakama ya Ngong tangu mwaka 2019.