2 Oct 2026 1:19 pm | Citizen TV 19,116 views Duration: 1:40 Mwanaume wa miaka 57 amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani na mahakama ya Kwale baada ya kupatikana na hatia ya kumnajisi msichana wa miaka 13 katika eneo la Mandingo, Diani Kaunti ya Kwale.