25 Sep 2026 1:19 pm | Citizen TV 2,542 views Duration: 1:54 Maafisa wa polisi eneo bunge la shinyalu kaunti ya Kakamega wanamzulia mwanamme mmoja wa miaka 29 kwa jina desmond kirishi, kwa tuhma za kumuua kwa kumkatakata shemeji yake na kisha kumjeruhi mwanawe wa miaka minne .