29 May 2026 11:36 am | Citizen TV 2,233 views Duration: 1:22 Wingu la huzuni laghubika kijiji cha Rionchogu kule Bomachoge Chache, familia, jamaa na marafiki ilipojumuika kwa mazishi ya Fraser Ogachi aliyefariki nchini Dubai.