Skip to main content
Skip to main content

Mwanaume huko Kisauni kaunti ya Mombasa ashukiwayae kumdhulumu kimapenzi mtoto wake wa miaka 13

  • | Citizen TV
    6,134 views
    Duration: 2:19
    Utata waibuka katika kesi inayomkabili mwanaume ashukiwayae kumdhulumu kimapenzi mtoto wake wa miaka 13 huko Kisauni kaunti ya Mombasa baada ya mwathiriwa kudaiwa kuandikisha taarifa kinzani.