Skip to main content
Skip to main content

Mwanaume wa miaka 38 apatikana amefariki nyumbani Bungoma

  • | Citizen TV
    3,336 views
    Duration: 2:17
    wingu la simanzi lilitanda mapema jumapili katika kijiji cha shiangalamwe, wadi ya mbakalo katika eneo bunge la tongaren, baada ya mwanaume mwenye umri wa miaka 38 kupatikana amefariki ndani ya nyumba yake.