Licha ya Rais William Ruto kusisitiza kuwa serikali tayari imetuma fedha za ruzuku ya shule, kwa zaidi ya wanafunzi milioni tatu wa sekondari muhula huu, Mwenyekiti wa Chama cha Wakuu wa Shule za Sekondari nchini, Willie Kuria, amepinga kauli hiyo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya