17 Jun 2026 1:11 pm | Citizen TV 12,314 views Duration: 2:00 Mwili wa mwanamke uliopatikana siku chache zilizopita ukiwa umefichwa ndani ya gunia katika eneo la Ngangarithi, Kaunti ya Nyeri, umetambuliwa kuwa wa Joy Kanini.