- 3,745 viewsDuration: 3:10Mwilli wa mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu kutoka Kisii kwa jina Ruth Moraa wazuiliwa ndani ya makafani ya hospitali ya Kisii kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana na madeni. Familia ya marehemu yasema kati ya shilingi laki tisa zihitajikazo, wafanikiwa kupata tu shilingi 23, 000.