- 1,558 viewsDuration: 1:21Mwili wa mwanamme mwenye umri wa miaka kati ya 20 na 30 wapatikana ukining'inia majini mto Nzoia katika kijiji cha mwikhupo kata ndogo ya Musembe eneo bunge la Tongaren ukiwa na majeraha ya kupigwa na vifaa butu kichwani huku sehemu za siri pia zahitilafiwa