30 Dec 2025 4:03 pm | Citizen TV 504 views Duration: 2:08 Wakaazi wa kijiji cha Egu Kalinga eneo la Mackinon Road kaunti ya Kwale wamezua hofu ya kufurushwa katika ardhi ya ekari zaidi ya 10,000.