2 Apr 2026 1:34 pm | Citizen TV 110 views Duration: 2:24 Mzozo wa ardhi unatokota kati ya jamii inaoishi Chewele eneo bunge la Bura na mamlaka ya kitaifa ya unyunyiziaji maji kufuatia hatua ya mamlaka hiyo kugawa hekari 50,000za ardhi.