- 1,607 viewsDuration: 2:36Mzozo kuhusiana na hifadhi ya wanyamapori ya Nairobi sasa umeelekezwa nje ya mahakama baada ya kundi la wataalam na wanasheria kutoka mahakama ya mazingira kuzuru eneo jipya lililo karibu na makavazi ya Bomas na hata ndani ya mbuga ya Nairobi. Ziara hii ikijiri huku kesi inayotaka kuzuia uhamisho huo ikiendelea mahakamani