9 Oct 2026 10:20 am | Citizen TV 2,545 views Duration: 1:33 Mwezi mmoja tu baada ya aliyekuwa katibu mkuu wa muungano wa kudheiha, albert njeru, kuaga dunia, mzozo wa uongozi umeibuka kufuatia uteuzi wa katibu mkuu mpya.