- 14,033 viewsDuration: 2:48Mzozo mkali umeibuka kati ya wazazina wasimamizi wa shule ya wasichana ya Utumishi iliyoko kaunti ya Nakuru. Usimamizi wa shule uliwatumia wazazi barua za kuwataka kuwarudisha shuleni wanafunzi jumanne wiki ijayo ila wazazi walilzizitiza kuwa hawangekubali kufanya hivyo kabla ya ukaguzi wa kiusalama kufanywa shuleni na usimamizi wa shule kuwajibika.