- 251 viewsDuration: 1:54Mamlaka ya kitaifa ya kupambana na matumizi ya pombe na dawa za kulevya (NACADA), kwa ushirikiano na wadau mbalimbali, yaanzisha kampeni ya uhamasishaji dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya katika eneo la kaboi, kaunti ya Nandi .