11 Sep 2026 10:43 am | Citizen TV 909 views Duration: 1:56 Serikali ya kaunti ya Marsabit pamoja na NACADA zimeimarisha operesheni dhidi ya pombe haramu, baada ya kuzinduliwa kwa mpango wa NACADA wa Siku 100 za kupambana na vileo haramu katika kaunti hiyo.