- 426 viewsDuration: 1:41Naibu gavana wa kaunti ya Kakamega Ayub Savula amemuonya kiongozi wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua dhidi ya kumshambulia katibu mkuu wa COTU. Naibu gavana huyo anasema kwamba matamshi ya rigathi dhidi ya atwoli yanamkosea heshima kiongozi huyo ambaye anashikilia nafasi ya viongozi maarufu kutoka jamii ya mulembe.