7 Sep 2026 1:41 pm | Citizen TV 1,483 views Duration: 1:06 Naibu Gavana wa Machakos, Mwangangi, amesema haifai kampuni ya Tata kufungwa nchini. Ameonya kuwa hatua hiyo huenda ikaathiri uhusiano wa Kenya na India, akisisitiza umuhimu wa kulinda uhusiano kati ya mataifa hayo.