6 Jan 2026 1:17 pm | Citizen TV 1,934 views Duration: 1:48 Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,Gilbert Masengeli, amewahimiza vijana kujiepusha na maovu ya kijamii na badala yake kujikita katika kukuza vipaji vyao ili kuziwezesha jamii zao.