Skip to main content
Skip to main content

Naibu rais Kindiki ongoza mkutano wa pamoja wa kamati ya baraza la mawaziri

  • | KBC Video
    120 views
    Duration: 37s
    Naibu raisProf. Kithure Kindiki ameongoza mkutano wa pamoja wa kamati ya baraza la mawaziri ili kutathmini hali ya nchi hii kujiandaa kutumia na kujinufaisha kutokana na teknolojia ya akili-unde. Mkutano huo pia ulijadilimbinu za kulainisha sera ilikuiwezesha nchi hii kunufaika sasa na katika siku za baadaye katika sekta za kilimo, hali ya anga, kawi, usalama, ajira na sekta nyingine muhimu za uchumi wa nchi hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive