Skip to main content
Skip to main content

Naibu rais Kithure Kindiki akosoa vifo, majeraha na uharibifu wa mali

  • | Citizen TV
    1,587 views
    Duration: 1:38
    Naibu Rais Kithure Kindiki amelaumu msukumo wa kisiasa kwenye maandamano ya leo. badala yake kindiki amesema kuwa, bei ya mafuta huenda ingepanda kufikia shilingi 400 kwa lita, endapo serikali haingeingilia kati kuwalinda wakenya. amelaumu vifo, majeraha na uharibu wa mali uliofanyika kufuatia maandamano ya leo sehemu mbalimbali nchini.