- 229 viewsDuration: 1:25Naibu Rais ProF. Kithure Kindiki leo ameongoza mkutano wa maafisa kutoka wizara ya biashara pamoja na maafisa kutoka serikali nane za kaunti kujadili na kuchambua muelekeo wa bustani za viwanda na maendeleo katika kaunti tofauti. Kindiki amezitaka serikali za kaunti kuhakikisha kuwa bustani hizo zinajengwa ili kuimarisha ushindani na biashara katika kaunti.