- 732 viewsDuration: 1:48Naibu rais profesa kithure kindiki ametangaza mpango wa kukutana na viongozi wa kisiasa kutoka makundi mbalimbali ya kisiasa katika eneo la mlima kenya, ili kutafuta njia ya kukomesha vitendo vya utumizi wa wahuni kusababisha machafuko ya kisiasa.