Skip to main content
Skip to main content

Naibu rais profesa Kithure Kindiki asema uharibifu wa mazingira unaathiri uzalishaji chakula

  • | Citizen TV
    213 views
    Duration: 1:32
    Naibu rais profesa Kithure Kindiki ashinikiza juhudi zaidi za kimataifa za kudhibiti mabadiliko ya hali ya hewa, kuongeza utoshelevu wa chakula na utunzaji wa mazingira, ili kulinda mali asili.