- 437 viewsDuration: 1:49Naibu wa rais Kithure Kindiki asema serikali yaweka mikakati kabambe ya kukabiliana na ukame pamoja na athari za mvua ya elnino itabiriwayo kunyesha msimu ujao. Kindiki azungumza kwenye mkutano na mawaziri na baadhi ya makatibu jijini Nairobi.