Skip to main content
Skip to main content

Naibu wa rais Prof Kithure Kindiki ameziagiza wizara za maji, kawi, barabara na teknolojia

  • | Citizen TV
    1,656 views
    Duration: 1:32
    Naibu wa rais Prof Kithure Kindiki ameziagiza wizara za maji, kawi, barabara na teknolojia kufanya kazi kwa karibu na magavana wa kaunti nane ambapo maeneo ya viwanda yanajengwa ili kuboresha bidhaa za kilimo.