Skip to main content
Skip to main content

Nairobi kujenga kituo cha mafunzo ya kupambana na ufisadi barani Afrika

  • | Citizen TV
    366 views
    Duration: 1:37
    Katika hatua muhimu ya kuimarisha vita dhidi ya ufisadi barani Afrika, imekubaliwa kuwa kituo cha mafunzo ya kupambana na ufisadi cha bara hilo kitajengwa jijini Nairobi. Haya yamesemwa na Rais wa Muungano wa Mashirika ya Kupambana na Ufisadi barani Afrika kutoka Misri, Khaled Abdelrahman, wakati wa kongamano la kila mwaka la mamlaka za kukabiliana na ufisadi za mataifa ya Afrika linalofanyika jijini Nairobi.