- 663 viewsDuration: 2:16Kwa siku ya pili, jiji la Nairobi limesalia mahame kutokana na mgomo wa magari ya usafiri wa umma. Maeneo mengi ya biashara yalisalia kufungwa huku wafanyabiashara wachache waliofungua wakikosa wateja. Shughuli za masomo pia zilitatizika kwa siku ya pili kutokana na athari za mgomo huo.