Skip to main content
Skip to main content

Naivas yazindua kampeni kupunguza gharama za maisha kwa Wakenya

  • | Citizen TV
    633 views
    Duration: 1:30
    Ni afueni kwa Wakenya wanaokabiliwa na gharama ya juu ya maisha baada ya kampuni ya maduka ya Naivas kuzindua kampeni maalum inayolenga kupunguza gharama za bidhaa wanazohitaji kila siku.