3 Jun 2026 1:32 pm | Citizen TV 2,889 views Duration: 1:10 Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, ametilia shaka hatua ya idara ya polisi kuwapa bunduki Askari wa Akiba katika kaunti hiyo bila kupatiwa mafunzo maalum ya kutosha.