11 Sep 2026 10:11 am | Citizen TV 1,150 views Duration: 1:05 Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya amepinga mpango wa kuwaondoa wageni wasio na vibali nchini, akisema hatua hiyo inaweza kuwaathiri pia Wakenya.