Skip to main content
Skip to main content

Nauli zapanda kwa asilimia 25 huku wananchi wakitaka hatua zaidi

  • | Citizen TV
    4,159 views
    Duration: 3:18
    Wakenya hasa wasafiri wataendelea kuhangaika kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta huku wahudumu wa magari wakisema upungufu wa shilingi kumi baada ya kupanda kwa shillingi 28 hauna tofauti yoyote na hivyo nauli itasalia kuwa juu. muungano wa wamiliki wa magari ya usafiri walipandisha nauli mijini na mashinani kwa asilimia 25 punde tu bei ya mafuta ilipopanda. ben kirui anaangazia dhiki ya wasafiri na wakenya kwa jumla.