10 Sep 2026 1:26 pm | Citizen TV 563 views Duration: 1:36 Baraza la Kitaifa la Makanisa Kenya (NCCK) limekashifu uhasama dhidi ya wageni nchini. NCCK imesema ni kosa kubwa kuvamia biashara zinazomilikiwa na raia wa kigeni.