Skip to main content
Skip to main content

NCIC yaandaa kikao kuhusu utangamano na uvumilivuv

  • | Citizen TV
    132 views
    Duration: 2:18
    Tume ya Uwiano na utangamano NCIC leo yaeanda akikao na wadau wengine na wanahabari kujadili mikakati ya kukabiliana matamshi ya chuki, uchochezi na rabsha katika mikutano ya kisiasa. Mkamishna wa tume hiyo wataka uchaguzi wa mwaka wa 2027 udhihirishe ukomavu wa wakenya licha ya tofauti za kisiasa. Tume hiyo hata hivyo yawanyishea kidole cha lawama badahi ya wanasiasa ambao wanatumia wahuni na hata semi za chuki kuleta migawanyiko huku vyombo vya usalama pia vikipigwa darubini na tume hiyo.