Skip to main content
Skip to main content

NCIC yaonya wanasiasa kuhusu matamshi ya uchochezi

  • | Citizen TV
    241 views
    Duration: 2:30
    Wanasiasa walio na tabia ya kupayuka hadharani na kutoa cheche za maneno sasa wameonywa kuwa watakamatwa. Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa NCIC, kwa ushirikiano na viongozi wa kidini wametangaza mikakati ya wanasiasa kuwajibikia matamshi yao. Kwenye kongamano la mashauriano lililofanyika jijini Nairobi, makubaliano yaliafikiwa kuhusu hatua kadhaa, ikiwemo kuzinduliwa kwa kampeni ya kukabiliana na maneno ya chuki, chini ya mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu, kama anavyoarifu Ben Kirui.