8 Oct 2026 10:12 am | Citizen TV 625 views Duration: 1:45 Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano, NCIC, inatoa wito kwa wanamuziki na watayarishaji wa maudhui kutumia kazi zao kuhamasisha umma kuhusu amani na utangamano tukielekea katika uchaguzi mkuu wa 2027.