- 430 viewsDuration: 1:20Idara ya polisi imewahakikishi wakenya kuwa itakuwa macho kuzima ghasia zozote za kisiasa, na kuahidi kuwa uchaguzi mkuu ujao utakuwa wa amanai. Wakizungumza kwenye kikao na wadau mbalimbali wakiwemo maafisa wa ncic hapa jijini nairobi, wamejadili mikakati iliyowekwa kuzima makundi ya wahuni nchini.